Upo tayari kuchukua uthibiti wa maisha yako ya baadae kwa kuwa na ujuzi utakao kuwezesha kujiajiri wewe mwenyewe na hivyo kuwa bosi wako wewe mwenyewe. Kama unahitaji kujifunza ujuzi unaoweza kukusaidia kujiajiri basi hapa ipo mahali sahihi, na safari yako ya ujasiriamali inaanzia hapa.

Jiunge na Chaneli ya Telegram ya GIF Online Classes na utagundua hazina kubwa ya maarifa yenye ujuzi utakao kuwezesha kujiajiri na kuyathibiti maisha yako wewe mwenyewe. Chaneli hii ina vitabu pepe, yani ebooks, PDFs pamoja na video zaidi ya 20 zitakazokufundisha ujuzi utakao kuwezesha kujiingizia kipato kuanzia sasa ukiwa chuo mpaka baada ya kuhitimu.

  • Utayajua maduka ya jumla ya bidhaa zote au machimbo yaliyopo kariakoo na hivyo utaweza kuanzisha biashara yoyote unayoitaka kwa sababu utajua wapi pa kuanzia kupata bidhaa za bei ya jumla. Utajifunza biashara zote kasoro za mazao tu.
  • Utajifunza ujuzi wa kuoka keki pamoja na kupamba utakao kukuwezesha kujiajiri au kuajiriwa bekari wakati unajipanga, ni bora kuliko kukaa tu nyumbani. Deiwaka wa bekari analipwa kati ya shilingi 15,000 mpaka 20,000 kwa siku.
  • Utajifunza kutengeneza vitafunio zaidi ya 20 vinavyolipa kibiashara zikiwemo Pizza na Burger.
  • Utajifunza kila kitu kuhusiana na kuanzisha duka la viatu. Utajua niches, makadirio ya mtaji, wapi pa kupata mzigo wa kuuza na mengine mengi.
  • Utajifunza kila kitu kuhusu biashara ya vipodozi
  • Utajifunza kila kitu kuhusiana na biashara ya nguo
  • Utajifunza kila kitu kuhusiana na biashara ya nguo za ndani
  • Utajifunza kutengeneza lambalamba
  • Utajifunza Kutengeneza aina Mbalimbali za Sabuni hasa za maji, za unga, shampoo, jiki na Nk
  • Utajifunza kutengeneza mafuta ya mgando
  • Utajifunza kuoka mikate
  • Utajifunza kuoka cookies
  • Kuna kitabu maalum chenye mawazo ya biashara yanayofanana na kozi unayosomea
  • Kuna ebook mahsusi kwa ajiri ya wanafunzi wa elimu ya juu tu kikiwa na mawazo ya biashara. yanayorandana na kozi unayosomea
  • Ujuzi mwingi wa maisha ya kiujasirimali kwa ajiri ya wanafunzi wa elimu ya juu.

Kwa Nini Ujiunge na GIF Online classes?

  • Utajifunza kutoka kwa wafanyabiashara wanaofanya vile wanavyohubiri. Pitia page ya @Jackymachoke
  • Kuna mamia ya wafanyabiashara, vijana wasio na ajira au waliopoteza ajira ambao wanaendesha maisha yao kupitia elimu ya vitabu vya GIF
  • Jifunze kwa wakati wako, Kasi Yako Mwenyewe na mahali pako
  • Utaweza kuanza biashara tokea ukiwa chuo na mpaka unamaliza chuo utaingia uraiani ukiwa na ujuzi wako tayari

Kujiunga

• Ada ya kujiunga

kwa mwezi ni shilingi 5,000

kwa wiki ni shilingi 3,000 tu.

Kwa siku Tsh 1,000

Madarasa tajwa tayari yanauzwa moja moja kwa shilingi 20,000/- lakini mwanafunzi utasoma vyote kwa shilingi 5,000/- kwa mwezi au shilingi 3,000/- kwa wiki.

USISUBIRI MPAKA UHITIMUA KUANZA KUYAJENGA MAISHA YAKO YA BAADAE. ANZA MAPEMA. ANZA SASA

WHATSAPP 0742 270 551/0655 475 666

5172695

Gif Bakery

Halafu tuma muamala kwenye whatsapp namba 0754270551 au 0655 475 666. Tumia namba yako ambayo tutakutumia link na hakikisha una telegram kwenye simu yako

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *