Nguvu ya Ushirikiano: Sababu 5 Kwanini Usianzishe Biashara Mwenyewe
Wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu na darasani mpo wanafunzi 20. Kila mmoja wenu anataka kuanzisha biashara, lakini mnajua pia hamna uwezo wa mtaji wa kuanzisha biashara mmoja mmoja lakini…