Unaweza kuwa mshona pochi za akina dada au mikoba na kuiuza. Tandika kwenye soko la mapochi na mahali pazuri kwako Kwen- da kujifunzia au kuwaambia wakushonee ununue ukaweke dukani kwako. Ukiamua kushona mapochi basi itakubidi uwekeze kwenye
- cherehani kubwa kidogo inayoweza ku- tumia sindani kubwa na ikibidi iwe ya mota. Zipo nyingi zinauzwa kariakoo,
- utahitaji uwe na vitambaa au Ma PVC kama yanayotumika kwenye Makochi am- bayo utanunua mitaa ya kipata, gerezani kariakoo,
- utahitaji mikasi, insole au mabox, na lining, pamoja na viurembo urembo vya kwenye mikanda, na ukiwa na fundi mzu- ri upo tayari kuanza.
Kuna dizaini nyingi sana za pochi kwa hiyo usijifanye wewe mwamba ushone kila dizaini, tafuta aina zako moja au mbili na ufanyie kazi hizo hizo tu. Mfano unaweza kuamua kushona vi nai nai tu, au vipochi vidogo kama guchi, au ukashoma makub- wa kama LV, au ukashona ya vitenge na kadhalika…
changamoto za biashara hii ni kwenye kuu- za, hapo ndio mtihani sababu utashindana na mchina anayeuza pochi nzuri sana inga- wa sio imara lakini nzuri na kwa bei rahisi sana kuliko za kutengenezwa nyumbani.
Watanzania hawana utamaduni wa ku sapoti na kuthamini bidhaa za nyumbani
Hakuna sera ya serikali inayolazimisha bi- ashara kutoka nje zisiuze bei rahisi kuliko bidhaa za ndani.Yani hamna bei elekezi kama kwenye mafuta ili kulinda viwanda vya ndani.
Поиск в гугле