Hivi unajua kuwa unaweza kushona san- dals nzuri kama za wachina hapahapa Tan- zania? lakini uzuri Watanzania wanpenda zaidi Sandals zenye asili ya kitanzania kwa maana Sandals kama za kimasai.
Unaweza kushona sandals kama za wama- sai wanazosambaza , unahitaji kuwa na
- Soli za kukata ngumu ya nje,
- Utahitaji soli laini ya kati
- Ngozi inayokaa juu kufunika,
- Utahitaji patasi au visu vikali vya kuka- tia,
- Utahitaji kitu kinaitwa Last za sandals za size au namba tofauti tofauti, hizi last ni tofauti kidogo na za viatu
- Utahitaji gundi ya moto na ya kawaida,
- Utahitaji pattern za kuigilizia na vitu vi- chache vingine na baada yah apo utaku- wa tayari kuanza kushona na kusambaza sandals zako.
Vitu vyote utanunua kwa woisso kipata au salasala na kama upo mikoani maduka yapo karibu kila mkoa ya vitu hivi.
Angalizo, mwandishi wa hiki kitabu ame- wahi kumiliki kiwanda kidogo cha kuten- geneza sandals.
Ищите в гугле