Kwanini Biashara Nyingi Zinakufa….Ujue Umuhimu wa MVP Katika Biashara.
Mojawapo ya biashara zinazofanywa na GIF ni biashara ya kashata. Biashara hizi tunazipika kusifungasha na kuzisambaza katika masoko na ma supermarket. Biashara hii ilianza kidogo kidogo kwa kutengeneza kashata kidogo…